KISWAHILI AINA ZA MANENO

Assessment
•
Sigfred Mbigoo
•
World Languages
•
1st - 2nd Grade
•
14 plays
•
Hard
Student preview

10 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE CHOICE
30 sec • 5 pts
NOMINO NI MANENO YANAYOTAJA MAJINA YA WATU ,VITU,MAHALI AU ............
2.
MULTIPLE CHOICE
30 sec • 5 pts
VIVUMISHI NI MANENO YANAYODOKEZA SIFA JUU YA ....................
3.
MULTIPLE CHOICE
30 sec • 5 pts
LIPI KATI YA MANENO YAFUATAYO NI KIVUMISHI KIULIZI ?
4.
MULTIPLE CHOICE
30 sec • 5 pts
KUNA AINA ,,,,,,,,,,,,,ZA MANENO KATIKA KISWAHILI
5.
MULTIPLE CHOICE
30 sec • 5 pts
LUGHA NINI ?
6.
MULTIPLE CHOICE
30 sec • 5 pts
MIMI NDIYE MWENYE HILI GARI.NENO NDIYE NI AINA GANI YA MANENO?
7.
MULTIPLE CHOICE
30 sec • 5 pts
MTOTO MTUNDU AMEANGUKA CHINI.NENO MTUNDU NI AINA GANI YA MANENO?
8.
MULTIPLE CHOICE
30 sec • 5 pts
KATIKA SENTENSI YA KISWAHILI RAFIKI WA NOMINO AU JINA NI NENO GANI ?
9.
MULTIPLE CHOICE
30 sec • 10 pts
MTOTO MWENYEWE HASIKILIZI LA MKUU HUYU.NENO MWENYEWE LIMETUMIKA KAMA AINA GANI YA NENO.
10.
MULTIPLE CHOICE
30 sec • 5 pts
ALAMA IFUATAYO INAWAKILISHA NINI ( Ts)
Explore all questions with a free account
Find a similar activity
Create activity tailored to your needs using
KISWAHILI F1 EVALUATION TEST

•
2nd Grade
Comprensión oral Video.

•
2nd Grade
Lingua 1º

•
1st - 11th Grade