10 questions
Mzazi wako wa kiume utamwitaje,............................
mama
baba
Mzazi wako wa kike utamwitaje,........................
mama
dada
Baba ya mama yako anaitwa .................................
babu
kaka
Mama ya baba na mama yako utamwitaje ................................
shangazi
nyanya
Kaka ya mama yako anaitwa .............................
shangazi
mjomba
Utamwitaje mtoto wa mtoto wako,....................................
mjukuu
mtoto
Mtoto wa shangazi au mjomba wako anaitwa,.............................
kaka na dada
binamu
Ndugu yako wa kike utamwitaje,...............................
kaka
dada
Ndugu yako wa kiume utamwitaje,..................................
dada
kaka
Baba na mama yako ni,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, wako
wazazi
marafiki