No student devices needed. Know more
25 questions
Kinyume cha Jenga
Kinyume cha Panda
Kinyume cha Anika
Kinyume cha Vaa
Kinyume cha Simama
Kinyume cha Lala
Kinyume cha Tembea
Kinyume cha Washa
Kinyume cha Cheka
Kinyume cha Andika
Kinyume cha Kubali
Kinyume cha Ingia
Kinyume cha Uza
Kinyume cha Funga
Kinyume cha Kubali
Panya ameingia ndani ya _____________
simo
shimo
Mvulana amevaa ____________
shati
chati
hati
Mimea imo ndani ya ___________
samba
shamba
chamba
Chakula kimewekwa juu ya ____________
meza
mesa
mea
__________ huu una matunda matamu.
mchi
mti
muti
__________ langu liko wapi?
choka
soka
shoka
Maji yamo ndani ya __________
tepe
debe
tep
Mimi husoma katika ________
sule
shure
shule
Una mikono _______________
miwili
mbili
mbiri
___________ ameruka majini.
sura
shura
chura