No student devices needed. Know more
10 questions
Asiyesikia la mkuu, ____________________________.
huvunjika mkono
huvunjika guu.
Mtoto umleavyo, _____________________________.
ndivyo akuavyo
ndivyo alalavyo
Mtoto wa nyoka, _________________________.
ni mayai.
ni nyoka.
Mwana akibebwa, hutazama ______________ cha nina.
kisogo
juu
Samaki mkunje, _____________________.
angali mkavu
angali mbichi
Mwana wa kuku, ___________________________.
hafunzwi kuchakura
hafunzwi kuruka
Mwana wa simba, _______________________________.
ni simba
ni paka
Nasaha ni _________________________.
adhabu
ushauri
Ushauri hutolewa kwa mtu ili kuweza kuwa na _____________.
maadili
nguvu
Maadili ni _______________________.
tabia mbaya
tabia njema
Explore all questions with a free account