10 questions
Ni nini kinyume cha Keti?
Lala
Simama
Kinyume cha amka ni __________.
lala
keti
Chagua kinyume cha tembea.
kimbia
keti
Kinyume cha shuka ni ______________
ingia
panda
Andika kinyume cha: Mtoto ameinama.
Mtoto ameinuka
Mtoto amesimama
Andika kinyume cha: Funga mlango.
Usifunge mlango
Fungua mlango
Andika kinyume cha: Mama aliwasha moto.
Mama aliwakisha moto
Mama alizima moto
. ---- Alama hii ya uakifishaji ni gani ?
nukta
kipumuo
, -- Alama hii ya uakifishaji ni gani?
nukta
kipumuo
? --- Alama hii ya uakifishaji ni gani?
kipumuo
kiulizi