10 questions
fatuma anapika fatuma ni?
kipkoech ana kimbia yeye ni?
njoroge ana lima , yeye ni ?
moraa ana chunga, yeye ni?
fatuma anapika fatuma ni?
andika nomino inayotokana na kitendo hii- linda
mlinzi
mwizi
mfagiaji
mlindaji
andika nomino kutokana na kitenzi hii - chimba
mchimbi
mchimabaji
kuchimba
mwimbaji
andika nomino inayotokana na kitenzi -chora
mchori
mchora
kuchora
mchoraji
andika nomino inayotokana na kitenzi shona
mshona
mshono
mshonaji
kushona
andika nomino kutokana na kitenzi lia
mliaji
mlizi
mlia
kulia